2018-05-12
Habari za asubuhi! Luka
6:47-48 [47]Kila mtu ajaye kwangu, na kuyasikia maneno yangu na kuyatenda,
nitawaonyesha mfano wake. [48]Mfano wake ni mjengaye nyumba, na kuchimba
chini sana, na kuweka msingi juu ya mwamba; na kulipokuja gharika, mto
uliishukia nyumba ile kwa nguvu, usiweze kuitikisa; kwa kuwa imejengwa
vizuri. Ninakuombea kwa Jina la Yesu na kwa msaada wa Roho Mtakatifu
uwe imara katika Imani yako kwa Kristo Yesu aliye mwamba Shalom
Comments
Post a Comment