Yohana 11:25-26
[25]Yesu akamwambia, Mimi ndimi huo ufufuo, na uzima. Yeye aniaminiye mimi, ajapokufa, atakuwa anaishi;
[26ye kila aishiye na kuniamini hatakufa kabisa hata milele. Je! Unayasadiki hayo?
Yeye aliyefanyika dhambi ili sisi tupate uzima, nae aliimaliza dhambi kwa kifo cha msalaba na kutupa uzima wa milele pamoja nae katika ufufuko.
Endelea kumuamini Kristo Yesu. Yeye ameyamaliza na kuyashinda yote.
Siku njema
Comments
Post a Comment