2018-09-01
Habari za asubuhi. Warumi 15:13 [13]Basi Mungu wa
tumaini na awajaze ninyi furaha yote na amani katika kuamini, mpate kuzidi sana
kuwa na tumaini, kaka nguvu za Roho Mtakatifu. Ninaomba neno hili
likafanyike hai na kuishi ndani yako kwa jina la Yesu mwezi huu ukasimamishwe
imara katika yote Mungu aliyoyaweka mbele zako na ukaishi maisha yenye thamani
na Utukufu wa Mungu kwa msaada wa Roho Mtakatifu. Amina Siku yako ni njema.
Shalom.
Comments
Post a Comment