WEWE NI WATHAMANI NDANI YA KRISTO
Waefeso 2:5-6
[5]hata wakati ule tulipokuwa wafu kwa sababu ya makosa yetu; alituhuisha pamoja nKristo; yaani, tumeokolewa kwa neema.
[6]Akatufufua pamoja naye, akatuketisha pamoja naye katika ulimwengu wa roho, katika Kristo Yesu;
Usisahau yaka umeketishwa pamoja na Kristo Yesu kwa ile imani uliyokuwa nayo ya Kumkiri Kristo Yesu ndani yako kuwa yeye ni Bwana na mokozi wa maisha yako.
Shalom.
Comments
Post a Comment