UZIMA NA MEMA YA MILELE
Zaburi 16:11
[11]Utanijulisha njia ya uzima;
Mbele za uso wako ziko furaha tele;
Na katika mkono wako uume
Mna mema ya milele.
Katika Mkono wa kuume wa Mungu mna mema ya milele. Nasi tumeketishwa pamoja na Kristo, mkono wa kuume wa Mungu Baba. Atukuzwe Mungu kwa wema wake usio na kipimo.
Umebarikiwa!

Comments
Post a Comment