Skip to main content

UNAO UZIMA WA MILELE



UNAO UZIMA WA MILELE
1 Yohana 5:13
[13]Nimewaandikia ninyi mambo hayo, ili mjue ya kuwa mna uzima wa milele, ninyi mnaoliamini Jinla Mwana wa Mungu.

ninakuombea Roho wa Mungu akufunulie kweli hii na Utukufu wa Mungu ukadhihirike katika maisha yako hapa duniani. Dunia ione nuru ya Kristo ndani yako yeye unayeketi nae katika uzima wa milele.

Wewe ni wathamani.

Comments

Popular posts from this blog

SALAMU ZA PASAKA

Salam Za Pasaka Wakolosai 2:13-15 [13]Na ninyi mlipokuwa mmekufa kwa sababu ya makosa yenu na kutokutahiriwa kwa mwili wenu, aliwafanya hai pamoja ne, akiisha kutusamehe makosa yote; [14]akiisha kuifuta ile hati iliyoandikwa ya kutushitaki kwa hukumu zake, iliyokuwa na uadui kwetu; akaiondoa isiwo tena, akaigongomea msalabani; [15]akiisha kuzivua enzi na mamlaka, na kuzifanya kuwa mkogo kwa ujasiri, akizishangilia katika msalaba huo. Haleluya.

ENDELEA KUMWAMINI YESU KRISTO

Yohana 11:25-26 [25]Yesu akamwambia, Mimi ndimi huo ufufuo, na uzima. Yeye aniaminiye mimi, ajapokufa, atakuwa anaishi; [26ye kila aishiye na kuniamini hatakufa kabisa hata milele. Je! Unayasadiki hayo? Yeye aliyefanyika dhambi ili sisi tupate uzima, nae aliimaliza dhambi kwa kifo cha msalaba na kutupa uzima wa milele pamoja nae katika ufufuko. Endelea kumuamini Kristo Yesu. Yeye ameyamaliza na kuyashinda yote. Siku njema

Warumi 15:13

2018-09-01       Habari za asubuhi. Warumi 15:13 [13]Basi Mungu wa tumaini na awajaze ninyi furaha yote na amani katika kuamini, mpate kuzidi sana kuwa na tumaini, kaka nguvu za Roho Mtakatifu.  Ninaomba neno hili likafanyike hai na kuishi ndani yako kwa jina la Yesu mwezi huu ukasimamishwe imara katika yote Mungu aliyoyaweka mbele zako na ukaishi maisha yenye thamani na Utukufu wa Mungu kwa msaada wa Roho Mtakatifu.   Amina  Siku yako ni njema.  Shalom.