Warumi 6:5-6
[5]Kwa maana kama mlivyounganika naye katika mfano wa mauti yake, kadhalika mtaunganika kwa mfano wa kufufuka kwake;6]mkijua neno hili, ya kuwa utu wetu wa kale ulisulibishwa pamoja naye, ili mwili wa dhambi ubatilike, tusitumikie dhambi tena;
Hakika ndani ya Kristotunahesabiwa haki na hatuwi watumwa wa dhambi tena.
Kristo Yesu amekwisha lipia yote kwa kupitia msalaba nasi tunapokea uzima tele kwa imani.
Comments
Post a Comment