Skip to main content

NGUVU YA HEKIMA

Habari za asubuhi!
Umeamshwaje! Na ndugu hapo wanaendeleaje?

Mithali 24:3-4
[3]Nyumba hujengwa kwa hekima,
Na kwa ufahamu huthibitika,
[4]Na kwarifa vyumba vyake hujazwa
Vitu vyote vya thamani na vya kupendeza.

Roho wa Mungu akuangazie na kukupatia hekima kuyajenga yale yote yaliowekwa mikononi na moyoni mwako, ufahamu wake ulioko ndani yako ukathibitike na kwa maarifa yake akujaze na kuongeza thamani katika yote.
Umebarikiwa.

Shalom.

Comments

Popular posts from this blog

SALAMU ZA PASAKA

Salam Za Pasaka Wakolosai 2:13-15 [13]Na ninyi mlipokuwa mmekufa kwa sababu ya makosa yenu na kutokutahiriwa kwa mwili wenu, aliwafanya hai pamoja ne, akiisha kutusamehe makosa yote; [14]akiisha kuifuta ile hati iliyoandikwa ya kutushitaki kwa hukumu zake, iliyokuwa na uadui kwetu; akaiondoa isiwo tena, akaigongomea msalabani; [15]akiisha kuzivua enzi na mamlaka, na kuzifanya kuwa mkogo kwa ujasiri, akizishangilia katika msalaba huo. Haleluya.

Warumi 15:13

2018-09-01       Habari za asubuhi. Warumi 15:13 [13]Basi Mungu wa tumaini na awajaze ninyi furaha yote na amani katika kuamini, mpate kuzidi sana kuwa na tumaini, kaka nguvu za Roho Mtakatifu.  Ninaomba neno hili likafanyike hai na kuishi ndani yako kwa jina la Yesu mwezi huu ukasimamishwe imara katika yote Mungu aliyoyaweka mbele zako na ukaishi maisha yenye thamani na Utukufu wa Mungu kwa msaada wa Roho Mtakatifu.   Amina  Siku yako ni njema.  Shalom.

ENDELEA KUMWAMINI YESU KRISTO

Yohana 11:25-26 [25]Yesu akamwambia, Mimi ndimi huo ufufuo, na uzima. Yeye aniaminiye mimi, ajapokufa, atakuwa anaishi; [26ye kila aishiye na kuniamini hatakufa kabisa hata milele. Je! Unayasadiki hayo? Yeye aliyefanyika dhambi ili sisi tupate uzima, nae aliimaliza dhambi kwa kifo cha msalaba na kutupa uzima wa milele pamoja nae katika ufufuko. Endelea kumuamini Kristo Yesu. Yeye ameyamaliza na kuyashinda yote. Siku njema