MAISHA YAKO YANAIFADHIWA NA MUNGU
Wakolosai 3:3-4
[3]Kwa maana mlikufa, na uhai wenu umefichwa pamoja na Kristo katika Mungu.
[4]Kristo atakapofunuliwa, aliye uhai wetu, ndipo na ninyi mtafunuliwa pamoja naye katika utukufu.
Ukiwa unaamini katika Kristo Yesu na kazi aliyoikamilisha msalabani amini yakuwa Mungu ndiye pekee anayetunza maisha yako. Wewe ni zaidi ya ndege wa angani, wewe ni zaidi ya maua.
Wewe ni wathamani.
Comments
Post a Comment