KUMTIZAMIA KRISTO YESU.
Waefeso 1:17
[17]Mungu wa Bwana wetu Yesu Kristo, Baba wa utukufu, awape ninyi roho ya hekima na ya ufunuo katika kumjua yeye;
Ninakuombea Roho Mtakatifu akupe ufunuo kila unapojifunza kwa neno lake uweze kumfuata Kristo Yesu kwakua kila kitu kimewekwa chini yake.
Siku yako ni njema.
Comments
Post a Comment