KUENENDA KATIKA KRISTO
Wakolosai 2:6-7,9-10
[6]Basi kama mlivyompokea Kristo Yesu, Bwana, enendeni vivyo hivyo katika yeye;
[7]wenye shina na wenye kujengwa katika yeye; mmefanywa imara kwa imani, kama mlivyofundishwa; mkizidi kutoa shukrani.
[9]Maana katika yeye unakaa utimilifu wote wa Mungu, kwa jinsi ya kimwili.
[10]Na ninyi mmetimilika katika yeye aliye kichwa cha enzi yote na mamlaka.
Umekamilishwa ndani ya Kristo Yesu.
Comments
Post a Comment